Psalms 71:15

15 aKinywa changu kitasimulia haki yako,
wokovu wako mchana kutwa,
ingawa sifahamu kipimo chake.
Copyright information for SwhNEN